
Nabi atoa sababu kuikataa Azam FC
AZAM FC imemtangaza Rachid Taoussi kuwa kocha mkuu kwa mkataba wa mwaka mmoja kuchukua nafasi ya Youssouf Dabo, lakini kabla ya kutua kwa Mmorocco huyo, ilidaiwa klabu hiyo ilikuwa ikimwinda kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi aliyefungua sababu ya kulitema dili ghilo la Chamazi. Taoussi aliyetua juzi nchini sambamba na wasaidizi watatu, Kocha msaidizi,…