
TFF yajitosa matibabu ya Mdamu
WAKATI wadau mbalimbali wakiendelea kumsaidia aliyekuwa mshambuliaji wa Polisi Tanzania, Gerrard Mdamu, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nalo limeibuka kumuokoa jahazi la matibabu ya mchezaji huyo. Mdamu alipatwa na ajali ya gari, Julai 2021 wakati akitoka mazoezi na timu huyo ilipokuwa Ligi Kuu Bara na kufanyiwa upasuaji ambao umemfanya awe nje ya uwanja kwa mwaka…