Djuma Shaban atimkia Ufaransa | Mwanaspoti

BEKI wa zamani wa Yanga, Djuma Shaban anayekipiga Namungo kwa sasa, ametimka nchini kwenda Ufaransa, huku akifunguka kilichofanya aende huko akiwa amepewa muda wa wiki moja kabla ya kurejea kikosini kuungana na wenzake kujiandaa na mechi za Ligi Kuu Bara. Djuma aliyewahi kuitumikia AS Vita ya DR Congo kabla ya kutua Yanga misimu mitatu iliyopita,…

Read More

Abdulla ahimiza michezo kudhibiti uhalifu

Morogoro. Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema michezo imekuwa ikisaidia kudhibiti vitendo vya uhalifu, ujambazi na utumiaji wa dawa za kulevya na hivyo ameagiza kuimarishwa kwa timu za majeshi kwa kuhusisha timu mbalimbali. Akifungua michezo ya majeshi inayofanyika Morogoro kuanzia Septemba 6 hadi 15, Makamu huyo wa…

Read More

Freddy Michael kumchomoa Musonda Yanga

IMEFICHUKA kuwa, aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Freddy Michael  ameshindwa kujiunga na USM Alger ya Algeria kwa kigezo cha kutowahi kuichezea timu ya taifa, lakini mwenyewe amezima uvumi kwamba yupo nchini akivizia dirisha dogo ili ajiunge na Yanga kuchukua nafasi ya Kennedy Musonda. Inadaiwa, ili uweze kucheze soka la kulipwa Algeria ni lazima angalau umepita timu…

Read More

Simba yaweka mikakati CAF, Mo ahusishwa mchongo wote

SIMBA inatarajiwa kuvaana na Al Ahli Tripoli ya Libya katika mechi za raundi ya pili za michuano hiyo ikianzia ugenini wikiendi ijayo kabla ya kurudiana nao baada jijini Dar es Salaam na mshindi wa jumla ataenda makundi ili kuanza msako wa ubingwa unaoshikiliwa kwa sasa na Zamalek ya Misri. Mafanikio makubwa kwa Simba kwenye Kombe…

Read More

Bacca, Job watingisha Mamelodi, Al Ahly

KAMA wewe ni beki wa kati unaitumikia klabu nyingine iwe ndani au nje ya nchi, kisha ukifuatwa na yeyote na akakuambia kwamba Yanga inataka kukusajili usimuamini sana mtu huyo, kwani huenda ni matapeli. Si huwa mnaona tangazo linaloandikwa katika kuta za nyumba ambayo haiuzwi likitanguliwa na onyo lisemalo; ‘Ogopa Matapeli….NYUMBA HII HAIUZWI’. Basi hivyo ndivyo…

Read More

Chalamanda alia dakika za lala salama

KIPA wa Kagera Sugar, Ramadhan Chalamanda amesema kupoteza umakini katika dakika za mwisho ndiko kumewanyima pointi sita katika michezo miwili waliyocheza, huku akiahidi mchezo dhidi ya Tabora United kitaeleweka. Kagera Sugar ambayo haijawahi kushuka daraja tangu ilipopanda Ligi Kuu Bara 2004, msimu huu haijaanza na matokeo mazuri ikipoteza michezo miwili mfululizo na kuwa mkiani kwenye…

Read More

Yanga Princess yaongeza kiungo Mnigeria

YANGA Princess imekamilisha usajili wa kiungo raia wa Nigeria, Adebisi Ameerat kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Hapoel Petach Tikva. Mchezaji huyo ambaye ana uwezo wa kucheza kama kiungo mshambuliaji, kiungo mkabaji na pembeni, amesajiliwa akitokea Hapoel Petach Tikva ambayo inashiriki Ligi Kuu Israel. Chanzo kimeliambia Mwanaspoti kuwa, tayari mchezaji huyo yupo nchini kwa ajili…

Read More

Fountain Gate yatesti mitambo | Mwanaspoti

KIKOSI cha Singida Fountain Gate kilichopo Ligi Kuu Bara, leo Jumamosi kinashuka kwenye Uwanja wa nyumbani wa Tanzanite Kwaraa uliopo Manyara ili kutesti mitambo dhidi ya maafande wa Mbuni waliopo Ligi ya Championship. Mechi hiyo inatumiwa na timu zote kujiandaa na mechi zao za ligi inazoshiriki, Fountain ikijiandaa kuipokea KenGold ya Mbeya mchezo utakaopigwa Septemba…

Read More