
Mateso ya Mdamu yashtua nyota Ligi Kuu
BAADHI ya wachezaji wa timu za Ligi Kuu Bara wamedai kushtushwa na kusikitishwa na hali aliyonayo sasa nyota wa zamani wa Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu, kuendelea kuteseka na kushindwa kufanya majukumu ya kifamilia na kisoka kwa ujumla. Mwanaspoti lilibua hali ya Mdamu baada ya kumtembea nyumbani kwake Kimara Bonyokwa, ambako alifunguka kwamba bado anahitaji …