
Wydad Casablanca bado yamganda Mzize
MIAMBA ya soka la Morocco, Wydad Casablanca imeonyesha kuwa siriazi kuitaka huduma ya mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize ambaye ni mfungaji bora wa Kombe la FA msimu uliopita. Mzize mwenye umri wa miaka 20, ambaye ni zao la timu za vijana za Yanga, amekuwa akivutia klabu kadhaa barani Afrika, huku Wydad na Kaizer Chiefs ya…