
WIZARA YA ELIMU ZANZIBAR YATEMBELEA FDC’S, YAPONGEZA JITIHADA ZA KTO
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imetembelea vyuo vya Maendeleo ya Wananchi nchini (FDC’s) kwa lengo la kujifunza namna vyuo hivyo vinavyotoa mafunzo na ujuzi kwa vijana hususani kwa wanawake vijana waliokatiza masomo kutokana sababu mbalimbali ikiwemo ujauzito na hali ngumu ya maisha. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam mara baada ya kutembelea…