
Pwani yazindua ligi kivyake | Mwanaspoti
WAKATI vyama vya kikapu nchini vikiandaa uzinduzi kwa kushindanisha timu viwanjani moja kwa moja, Mkoa wa Pwani umeanza kwa wachezaji kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo Kaole wilayani Bagamoyo. Katibu wa Chama cha Kikapu mkoani humo, Abdalah Mpongole amesema baada ya kutembelea vivutio hivyo wachezaji walishiriki katika bonaza lililofanyika katika Uwanja wa Sekondari ya Bagamoyo. “Katika…