Nusu fainali Shy Jumamosi | Mwanaspoti

TIMU za Risasi na Veta zinatarajia kuchuana Jumamosi ijayo katika mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Shinyanga mchezo unaopigwa kwenye Uwanja wa Risasi. Akizungumza na Mwanaspoti kwa simu kutoka Shinyanga,  kamishna wa Ufundi na Mashindano Kikapu mkoani humo, George Simba alisema nusu fainali nyingine itachezwa  Jumapili kati ya Kahama…

Read More

Manyama: Tutatacheza nane bora  | Mwanaspoti

BAADA ya Srelio kuifumua Ukonga Kings kwa pointi 90-50 katika mchezo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), meneja wa timu hiyo, John Manyama ametoa kauli ya kibabe kwa wapinzani wao, akisema hakuna wa kuwazuia kucheza nane bora ya mashindano hayo. Manyama ameliambia Mwanaspoti kuwa, ushindi huo umewanyoshea njia ya kucheza hatua…

Read More

Yametimia, Dabo afungashiwa virago Azam

Bodi ya wakurugenzi ya Azam FC imefikia makubaliano ya pande mbili na aliyekuwa kocha wa Azam Fc Youssouph Dabo ya kutoendelea kufanya kazi naye kuanzia Septemba 3, 2024. Taarifa iliyotolewa na idara ya habari na mawasiliano ya klabu hiyo imeeleza Dabo aliyehudumu kwenye kikosi hicho kwa mwaka mmoja na kuifanya timu hiyo kumaliza katika nafasi…

Read More

Fei Toto anatoa msimamo Azam FC

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema licha ya kuondolewa mapema katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu lakini ana imani kubwa na timu hiyo kutokana na kuwa na kikosi bora chenye ushindani, hivyo wanapambana mwakani warudi tena kimataifa. Azam FC imeondolewa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika…

Read More

Tanimu: Kutua Ulaya ni kama zali tu

ALIYEKUWA beki wa Singida Black Stars, Benjamin Tanimu ambaye amejiunga na Crawley Town FC ya Ligi Daraja la Pili England ‘EFL League One’, amesema ni kama zali tu kwake kutoka Ligi Kuu Bara hadi kupata nafasi ya kwenda kucheza soka la kulipwa katika moja ya mataifa makubwa barani Ulaya. Kitasa huyo ambaye alikuwa akiitwa na…

Read More

Serge Pokou aichongea Simba CAF

WAKATI Simba ikianza kushika kasi, Winga wa Al Hilal, Serge Pokou ameichongea timu hiyo kuelekea mchezo wa mzunguuko wa awali wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya. Simba itaanzia ugenini Libya kati ya Septemba 13-15, kisha itarudi nyumbani kwa mchezo wa mkondo wa pili utakaochezwa kati ya Septemba 20-22. Staa…

Read More

Jeuri ya Gamondi Yanga ipo hapa

UMELIONA benchi la ufundi la Simba lililovyoshiba watu? Nenda Azam pia wana watu wa maana lakini hao wote kuna vichwa vitatu tu vinawakimbiza sana kutoka pale kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga. Timu hizo kubwa zote zimejikuta zikiumia mapema wakati msimu unataka kuanza wakipokea vipigo lakini kuna jambo moja tu limewashinda kutoka Yanga….

Read More

Yametimia, Dabo afungishwa rasmi virago Azam

Bodi ya wakurugenzi ya Azam FC imefikia makubaliano ya pande mbili na aliyekuwa kocha wa Azam Fc Youssouph Dabo ya kutoendelea kufanya kazi naye kuanzia Septemba 3, 2024. Taarifa iliyotolewa na idara ya habari na mawasiliano ya klabu hiyo imeeleza Dabo aliyehudumu kwenye kikosi hicho kwa mwaka mmoja na kuifanya timu hiyo kumaliza katika nafasi…

Read More

Majogoro atamani taji Sauzi | Mwanaspoti

KIUNGO Mtanzania anayekipiga Chippa United ya Afrika Kusini, Baraka Majogoro amesema anatamani msimu huu kufanya vizuri na kuisadia timu hiyo kuchukua ubingwa baada ya kuukosa mwaka jana. Kiungo huyo alisajiliwa na Chippa United Agosti 2023 alipita Polisi Tanzania na Mtibwa Sugar za Tanzania zote zimeshuka daraja kwa misimu tofauti. Akizungumza na Mwanaspoti Nje ya Bongo,…

Read More

Kinda la Yanga mzuka umempanda Uganda

SIKU chache baada ya kutua na kutambulishwa na klabu ya Wakiso Giants inayoshiriki Ligi Kuu ya Uganda, beki kinda za zamani wa timu ya vijana ya Yanga U-20, Issack Emmanuel Mtengwa amesema uamuzi wa mabosi wa Jangwanui kuamua kuwauza nje wachezaji itasaidia kupata uzoefu na kukua kisoka. Mtengwa anakuwa mchezaji wa pili kutoka Yanga ya…

Read More