
Jalada kesi inayomkabili aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, lipo Polisi
Dar es Salaam. Jalada la kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini inayomkabili aliyekuwa kocha wa makipa wa timu ya soka ya Simba, Muharami Sultani(40) na wenzake, limepelekwa polisi kwa ajili ya uchunguzi zaidi. Wakili wa Serikali Mwandamizi, Grace Mwanga akishirikiana na Frank Rimoy ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Jumatatu Septemba…