
Yonta, Adebayor kazi imeanza Singida BS
NYOTA wawili wapya wa Singida Black Stars washambuliaji Abdoulaye Yonta Camara na Victorien Adebayor, wamepewa programu maalumu za mazoezi na kocha mkuu wa kikosi hicho, Patrick Aussems kutokana na kuchelewa kujiunga na wenzao msimu huu. Camara na Adebayor hawakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kilichoanza maandalizi ya msimu (pre season), jambo ambalo limemfanya Aussems…