Youssouph Dabo apewa “THANK YOU”
Baada ya majadiliano makali kwenye kikao cha dharura, bodi ya Azam FC imefikia maamuzi ya kuliondoa benchi lote la ufundi chini ya kocha Yousouph Dabo. Muda wowote kuanzia sasa taarifa rasmi itatoka na kinachosubiriwa niĀ kumalizika kwa taratibu za kimikataba ili kila upande upate kinachostahili. Dabo ataondoka na wasaidizi wake watano ambao ni kocha msaidizi…