
Magoma, Yanga walivyochuana mahakamani Dar
Hatma ya uhalali wa rufaa ya klabu ya Yanga, sasa itajulikana Septemba 9, mwaka huu wakati Mahakama Kuu, Masjala ya Dar es Salaam, itakapotoa uamuzi wa pingamizi dhidi ya rufaa hiyo. Rufaa hiyo imefunguliwa na Juma Ally Magoma na mwenzake Geoffrey Mwaipopo, wakipinga uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es Salaam, Kisutu…