
Camara aomba radhi mashabiki Guinea
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Guinea, Ismael Camara amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kufuatia sare ya kufungana bao 1-1 na Algeria iliyowaondoa kwenye nafasi ya kuwania kufuzu robo fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN). Guinea chini ya kocha Souleymane Kamara ilitangulia kupata bao kupitia kwa Camara dakika…