
SIMULIZI YA HADITHI: Machozi ya mshumaa – 2
ZAWADI alijikuta akishangaa busara za yule mwanaume aliyeonekana mwenye busara na huruma. Japo hakupenda kuyakumbuka alichofanyiwa na mpenzi wake ambayo huufanya moyo uvuje damu kwa ndani. Hakuwa na jinsi zaidi ya kumhadithia mkasa mzima uliosababisha kuvunjika penzi lake na mchumba wake aliyebakisha siku chache afunge ndoa. Zawadi baada ya kunywa funda chache za maji alishusha…