
Siri ya uwezo wa Chama, Pacome mtaalamu wao afunguka
SIRI ya viungo wawili Yanga ambao ni Pacome Zouzoua na Clatous Chama imefichuka, baada ya kuonekana kuwa na viwango bora hasa katika michuano ya kimataifa iliyochezwa wikiendi iliyopita dhidi ya Vital’o ya Burundi. Huu ni msimu wa pili kwa Muivory Coast Pacome aliyetokea Asec Mimosas na wa kwanza kwa Chama ambaye alikuwa akiichezea Simba. Viungo…