
Morocco afichua mambo matatu akimrudisha Job Stars na kuwaacha Msuva, Samatta
KAIMU kocha mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’ amefichua mambo matatu katika uchaguzi wa kikosi cha timu hiyo alichokitangaza leo, Jumatatu akimrejesha beki wa Yanga, Dickson Job na kuwaacha Simon Msuva na nahodha Mbwana Samatta, ambaye hata hivyo aliwasilisha barua ya kujiuzulu kuitumikia Stars. Kwenye makao makuu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Karume…