
HASHEEM IBWE ALIA NA AZAM FC “TUMEKUWA AIBU KWA TAIFA” – MWANAHARAKATI MZALENDO
Kufuatia kutolewa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika hatua ya mtoano kwa kufungwa mabao 2-1 kwa matokeo ya jumla na APR ya Rwanda, Afisa Habari wa Azam FC Hasheem Ibwe amekiri timu hiyo kulitia aibu Taifa, kwani ilikuwa ikitarajiwa kuibuka na ushindi. “Tumewaangusha Mashabiki wetu ,Tumewaangusha Watanzania wote tumekuwa Aibu kwenye…