
Wagosi yang’olewa CAF, yakosa penalti
COASTAL Union ya Tanga imerudia kile kile ilichowahi kukifanya mwaka 1989 ilipong’olewa raundi za awali za michuano ya CAF, baada ya jioni ya leo kutoka suluhu na AS Bravo ya Angola na kutolewa kwa jumla ya mabao 3-0. Coastal ilipoteza mechi ya kwanza ugenini kwa mabao 3-0 na leo ilikuwa ikihitaji ushindi wa zaidi ya…