Burudani zatawala nje kwa Mkapa
ACHANA na burudani inayotarajiwa kutolewa baadaye na Simba, lakini hivi sasa nje kuna vaibu lingine linaloendelea kwenye maeneo tofauti karibu na Uwanja wa Mkapa. Leo ni kilele cha wiki ya Simba Day ambayo hutambulisha wachezaji wapya na benchi la ufundi ikitaambatana na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali na mechi ya kirafiki. Kuna kikundi cha mashabiki…