
Rais Samia ataka CHAN ipigwe Samia Suluhu Sports
Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Uwanja wa Samia Suluhu Sports Academy kukamilika Januari 2025 badala ya Aprili ili uweze kutumika katika Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) inapigwa katika uwanja huo. “Tarehe 22, niliweka jiwe la msingi la ujenzi wa Suluhu Sports Academy unaotarajiwa kukamilika kwa ratiba Aprili 2025,…