
Simba yapewa Waarabu CAF | Mwanaspoti
Dar es Salaam. Simba itakutana na Al Ahli Tripoli ya Libya katika raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu ambapo itaanzia ugenini na kumalizia nyumbani. Hiyo ni baada ya Al Ahli Tripoli kuitupa nje Uhamiaji ya Zanzibar kwa ushindi wa mabao 5-1 katika mechi mbili za raundi ya kwanza ambazo zote zilichezwa…