
MTU WA MPIRA: Si lazima Yanga imuuze Mzize
NIMEONA maneno mengi mitandaoni kuhusu sakata la mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize. Nimeona mijadala mingi kwenye vyombo vya habari pia. Kuna maoni mengi kuhusu Yanga kukataa ofa tatu tofauti kuhusu Mzize. Inasemekana Wydad Casablanca, Kaizer Chiefs na timu nyingine moja kutoka Ulaya zimetuma ofa Yanga. Maoni mengi ni kutaka Yanga imuuze Mzize kwa sasa. Kwanini?…