
Samatta sasa anukia Cyprus | Mwanaspoti
MABOSI wa Omonia Nicosia ya Cyprus wameripotiwa kuvalia njuga dili la kumnasa nahodha wa timu ya taifav ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta ambaye kwa sasa anaonekana kutokuwa katika mipango ya kocha wa PAOK ya Ugiriki, Razvan Lucescu. Samatta bado ana mkataba wa kuichezea miamba hiyo ya soka la Ugiriki hadi Juni 30, 2025, awali…