
Awesu atoa msimamo Simba SC, afungukia bao dhidi ya Tabora
KIUNGO mpya wa Simba, Awesu Awesu ametoa msimamo baada ya kukiri alikuwa na ndoto za muda mrefu za kuichezea timu hiyo, lakini sasa ana kazi na kuelekeza nguvu kubwa kutumia kipaji alichonacho kutoa mchango wa kuifikisha mbali timu hiyo. Nyota huyo aliyewahi kutamba na Azam FC, Kagera Sugar na KMC, amelizungumzia pia bao la kwanza…