
Jeuri ya Aussems ipo hapa!
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars raia wa Ubelgiji, Patrick Aussems amesema kwa sasa anajivunia upana na ubora wa timu hiyo baada ya kuanza vyema Ligi Kuu Bara msimu huu, huku wachezaji wote wakionyesha utayari wa kupambania kikosi hicho. Aussems amezungumza hayo baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KenGold katika mechi ya kwanza…