Majaliwa: Suluhu Sports Academy itasaidia vijana kuonyesha vipaji

Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Ujenzi wa Suluhu Sports Akademi utasaidia kujenga mfumo wa kuwaandaa vijana kucheza michezo mbalimbali. Majaliwa ameyasema hayo Zanzibar leo, Agosti 22,2024 kwenye hafla ya kuweka Jiwe la Msingi kwenye kitu hicho kinachojengwa Mkunguni- Kizimkazi Zanzibar huku mgeni rasmi akiwa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Majaliwa amesema…

Read More

Minziro aibukia Mwadui FC | Mwanaspoti

BAADA ya kuachana na Kagera Sugar, Fredy Felix ‘Minziro’ ameibukia Mwadui FC inayojiandaa na Ligi ya Champpionship msimu huu, huku akipewa kibarua cha kuunda kikosi cha timu hiyo kitakacholeta ushindani na kupanda Ligi Kuu. Minziro aliachana na Kagera Sugar baada ya mkataba wake kuisha msimu uliopita nafasi yake ikichukuliwa na Mganda, Paul Nkata, ambapo ameingia…

Read More

Urasimu ulivyomnyima fursa Njohole Arsenal

Dar es Salaam. Nyota wa zamani wa Simba na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Nicodemus Njohole amefichua kuwa angeweza kuandika historia ya kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza Ligi Kuu ya England (EPL) ikiwa asingekutana na urasimu hapa nchini. Njohole anasema alifuzu majaribio katika timu za Arsenal na Bournemouth ambazo zote zilitaka kumsajili lakini…

Read More

Mukwala afichua siri Simba | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Mganda Steven Mukwala hajawapa furaha Wanamsimbazi, lakini mwenyewe amekiri sasa anauona ukubwa na thamani ya kikosi hicho baada ya kuanza kukitumikia tangu ajiunge msimu huu akitokea Asante Kotoko ya Ghana. Mukwala alisema tangu atue nchini amekutana na presha kubwa kuanzia katika benchi la ufundi hadi kwa mashabiki, jambo ambalo ni tofauti…

Read More

Ukuta Simba na deni la msimu uliopita

Dar es Salaam. Wakati wakianza mechi ya kwanza ya ligi kuu msimu huu bila kuruhusu bao dhidi ya Tabora United, mabeki na makipa wa Simba wana kibarua cha kufuta takwimu mbaya za msimu uliopita za safu yao ya ulinzi. Takwimu hizo ni za kuruhusu nyavu zao kutikiswa mara nyingi zaidi kwa msimu mmoja ukiwa ndio…

Read More