
Yanga yajipiga shoti ya mabilioni, Dube aleta uhai
WAKATI mashabiki wa Yanga wakiendelea kuchekelea ubora wa kikosi chao, upo moto unaoiunguza timu hiyo ndani kwa ndani. Yanga kwa misimu mitatu sasa imekuwa ikitingisha katika ligi za ndani na michuano ya kimataifa kutokana na kufanya usajili mzuri wa wachezaji bora wanaoibeba, lakini ikijikuta pia ikipata hasara kutokana na usajili unaofanywa. Iko wazi kuwa kati…