Upanga, Pak Stars tishio Kombe la TCA

MAMBO ni mazuri kwa timu za Upanga, Pak Stars na Caravans baada ya kuibuka wababe mechi za kriketi kuwania Kombe la TCA jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Zilikuwa ni mechi za mizunguko 50 ambazo zilichezwa kwenye viwanja vya Dar Gymkhana na Leaders Club na hivyo kuwapa burudani wapenzi wa mchezo wa kriketi. Mechi…

Read More

Gofu ya ‘wazito’ kunogesha utalii visiwani

WACHEZA gofu 70 kutoka mataifa tisa duniani wanategemewa kunogesha msimu wa utalii Zanzibar huku viwanja vya gofu vya Sea Cliff vikiwa tayari kwa ajili mashindano ya watendaji wakuu na maofisa wa kibalozi kutoka nchi mbalimbali mapema mwezi ujao. Kwa mujibu wa Elias Soka, nahodha ya klabu ya Sea Cliff na mratibu wa mashindano hayo kila…

Read More

UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Awesu ni MVP mpya Msimbazi?

PENGINE bado ni mapema sana, lakini kuna wachezaji tayari wameanza kuwasha moto mwanzoni kabisa mwa msimu. Joshua Mutale bado anajitafuta. Steven Mukwala bado anajipiga piga kifuani. Debora Fernandez taratibu aanza kuonyesha ni kwanini Simba wamemchukua, lakini Awesu Awesu tayari gari limewaka. Ukitazama mechi yake ya kwanza akiwa na jezi ya Mnyama Simba unaona umaridadi wa…

Read More

SPOTI DOKTA: Ligi imeanza na majeraha ya Kigimbi hayakosi

HIVI sasa Ligi mbalimbali duniani zimeanza kutimua vumbi katika viwanja vya soka ikiwamo hapa nyumbani Ligi Kuu Bara iliyoanza wiki iliyopita. Vile vile kule nchini Uingereza mwishoni mwa wiki iliyopita ligi kuu ya EPL nayo imeanza kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali ikijumuisha timu zilizopanda daraja ikiwamo Leicester City. Kawaida tumezoea kuona majeraha mbalimbali ambayo huwa…

Read More

MARACANAZO: Simulizi nzito ya ubabe wa Uruguay kwa Brazil

MFANYABIASHARA wa mji wa Rio de Janeiro, Brazil alitakiwa na serikali kutafuta jina jipya la duka lake na kuondoa lile la ‘Februari 24’ ili kunusuru maisha yake. Hii ni kwa sababu Februari 11, mwaka huu Argentina waliwafunga Brazil na kuwanyima fursa ya kucheza fainali za kandanda za Olimpiki zilizofannyika Paris, Ufaransa. Brazil iliyotarajia kutetea ubingwa…

Read More

Suala la Kitumbo, TFF linafikirisha

INAWEZA kuonekana kuwa Shirikisho la Kimataifa la Soka (Fifa) halitaki masuala yake yapelekwe mahakama za kiraia kwa ajili ya kufanyiwa uamuzi, lakini si kila jambo haliendi mahakamani. Kuna masuala ambayo Fifa yenyewe inajiona haina mamlaka ya kuyashughulikia, hivyo kuyaacha yafanywe na vyombo vya kiserikali. Masuala kama ya kughushi, haki ya kufanya kazi kama ile iliyomsukuma…

Read More

JIWE LA SIKU: Dube tumaini jipya la Yanga!

BAADA ya Yanga kusota kwa msimu mmoja kwenye eneo la ushambuliaji ni kama tumaini jipya limerudi ndani ya viunga vya Jangwani. Msimu wa 2022/23 Yanga ilimuuza mshambuliaji wake raia wa DR Congo, Fiston Mayele kwenda Pyramids FC ya Misri ambako amemaliza msimu na mabao 17 na asisti tano, akishika nafasi ya pili nyuma ya mfungaji…

Read More

COME BACK: Haijaisha hadi iishe

FLORIDA, MAREKANI: HAIJAISHA hadi iishe. Kama ulijua wamestaafu masumbwi na kukaa tu, basi bado jaijaisha na mwaka huu utashuhudia mapambano mawili makubwa na yanayotajwa yatavutia hisia za mashabiki wengi na wadau wa mchezo huo duniani. Ni floyd Mayweather na Mike Tyson. Wawili hawa kwa nyakati tofauti walitangaza kustaafu masumbwi na kurejea tena kwa mara nyingine…

Read More