
Mousa Camara amtisha Diarra, Matampi
KIPA mpya wa Simba, Mousa Camara ameweka wazi malengo yake msimu huu na kutangaza vita dhidi ya Djigui Diarra wa Yanga na Lay Matampi kutoka Coastal Union. Camara ambaye ametua Simba msimu huu akitokea Horoya AC ya Guinea na ndiye kipa aliyedaka mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya Tabora United akitoka bila ya kuruhusu…