
Taifa Stars kazi ile ile, muda uleule CHAN
TAIFA Stars imeshafuzu robo fainali za michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024, lakini kocha mkuu Hemed Suleiman ‘Morocco’ amesisitiza kazi haijaisha na kwamba leo wanakamilisha ratiba, huku dhamira ni kupata ushindi ili kuboresha rekodi waliyoiweka. Stars itashuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 2:00 usiku muda…