
Ngumi zitapigwa Songea Septemba 8, 2024
TAMASHA kubwa la ngumi za kulipwa Mkoa wa Ruvuma, limepangwa kufanyika Septemba 8, 2024 kwenye Uwanja wa Majimaji uliopo Songea mkoani humo. Muandaaji wa tamasha hilo, Jofrey Miti wa JBM Fitness Gym ya Lizaboni, alisema kuwa mapambano mbalimbali ya ngumi za kulipwa yatafanyika katika tamasha hilo lililopangwa kuanza saa 11:00 jioni. Miti alisema kuwa bondia…