
Usalama wa watoto kwenye viwanja vya michezo
Katika viwanja vya michezo nchini, mchezo wa mpira wa miguu una nafasi ya pekee katika nyoyo za Watanzania. Wakati wa mechi kubwa, hususani zile zinazohusisha timu za Simba na Yanga, viwanja vya mpira hujaa maelfu ya mashabiki. Pamoja na shangwe na vigelegele vinavyosikika, kuna kundi moja linalokabiliwa na hatari nyingi zaidi, kundi la watoto. Licha…