
Ceasiaa yaigomea Yanga Princess | Mwanaspoti
WAKATI Ceasiaa Queens ikitema na kuingiza nyota wapya 10 wakiwamo watano wa kimataifa, kocha mkuu wa timu hiyo, Noah Kanyanga amethibitisha kugomea ofa aliyoletewa na Yanga Princess akidai haikumshawishi. Walioongezwa ni straika Tantine Mushiya (DR Congo), mabeki Lukiya Namubiru, Tukamuhebwa Recho na Dorcus Nabuufu na winga Halima Nanteze wote kutoka Uganda. Wengine walioongezwa ni wazawa…