
Ouma hajakata tamaa Coastal Union
LICHA ya Coastal Union kufumuliwa mabao 3-0 katika mchezo wa awali wa raundi ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika na Bravos do Marquis ya Angola, kocha mkuu wa kikosi hicho, Mkenya David Ouma amesema bado hajakata tamaa na matokeo hayo akijipanga kupindua meza mchezo wa marudiano. Coastal iliyorejea katika michuano ya kimataifa tangu mwaka…