
Unstoppable Yanga, Chama aanza kazi
YANGA imeendelea kuwapa raha mashabiki wake baada ya kuanza vyema michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi mabao 4-0 dhidi ya Vital’O ya Burundi. Katika mchezo huo wa awali uliopigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar as Salaam, Yanga ilipata bao la kwanza dakika ya tano lililofungwa Na nyota mshambuliaji Mzimbabwe, Prince…