
Simba SC kama Reggae Boys
NOBODY can stop reggae! Hii ni ngoma matata iliyowahi kupigwa na kuimbwa na Lucky Dube. Gwiji huyo wa miondoko ya Reggae, kwa sasa ametangulia mbele ya haki, lakini ngoma yake inaendelea kutamba. Si unajua Reggae haipigwi na wanyoa viduku. Miondoko hii inapigwa na kuimbwa na watu wenye rasta. Sasa unaambiwa pale Msimbazi, kuna kikosi cha…