
‘First 11’ ya wachezaji wa kike kimataifa
UBORA wa ligi ya wanawake Tanzania (WPL) unaonekana kukua na hilo linathibitishwa kutokana na mastaa kusajiliwa katika ligi kubwa Ulaya. Mfano mzuri ni nyota wa Brighton, Aisha Masaka aliyesajiliwa msimu huu akitokea BK Hacken ya Sweden, Clara Luvanga, Opah Clement na wengineo. Kwa wingi wao na ubora wanaoonyesha kwenye klabu zao, Mwanaspoti limekutengenezea kikosi cha…