WMA YAELEZA FURSA ZA UWEKEZAJI KWA SEKTA BINAFSI

Veronica Simba na Paulus Oluochi – WMA Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla ametaja fursa kadhaa za uwekezaji unaoweza kufanywa na sekta binafsi katika tasnia ya vipimo nchini Tanzania. Kihulla ameeleza fursa hizo kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Raphael Maganga aliyetembelea Kituo cha Uhakiki wa…

Read More

Awesu sasa rasmi ni Simba, atua kambini

Muda mchache baada ya kumalizana na KMC kumng’oa kiungo, Awesu Awesu mchezaji huyo tayari ameungana na wenzake kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu  Bara dhidi ya Tabora United Agosti 17.  Awesu Awesu dili lake na Simba licha ya kutambulishwa halikukamilika na Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji iliamuru kiungo huyo…

Read More

Filamu nzima ya Ateba kutua Simba

SIMBA imeshamshusha straika mpya Lionel Ateba baada ya kufikia makubaliano na USM Alger ya Algeria kwa ajili ya uhamisho wa raia huyo wa Cameroon ili kuimarisha safu ya ushambuliaji ya Wekundu iliyopo chini ya kocha Fadlu Davids aliyehitaji kuboreshewa zaidi eneo hilo. Hata hivyo, wakati Simba inafanikisha uhamisho wa mshambuliaji huyo anayetazamiwa kuongeza nguvu eneo…

Read More

Bosi Mtibwa hesabu kali | Mwanaspoti

SIKU chache baada ya uongozi wa Mtibwa Sugar kumrejesha aliyekuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo, Swabri Aboubakar baada ya kikosi hicho kushuka daraja, bosi huyo ameanza kupiga hesabu kali kwa nia ya kurejesha heshima ya mabingwa hao wa zamani wa Ligi Kuu Bara 1999 na 2000. Swabri aliondolewa kikosini humo Desemba 29, mwaka jana…

Read More

Kikapu Mwanza mwendo wa dozi tu

TIMU za Crossover (CIC) na Young Profile zimeanza kwa ushindi katika michezo yao ya Ligi ya Kikapu Mkoa wa Mwanza, huku wachezaji Hamis Hamis na Bryan Edward waking’ara na kuibuka nyota wa michezo hiyo kwa kufunga pointi nyingi na kuzibeba timu zao. Ligi hiyo iliyoanza Agosti 4, mwaka huu, iliendelea mwisho wa wiki iliyopita kwenye…

Read More

Mashabiki Tabora United washushwa presha

WAKATI pazia la Ligi Kuu Bara msimu wa 2024-2025 likitarajiwa kuzinduliwa rasmi kesho Ijumaa kwa kupigwa mechi moja kati ya Pamba Jiji na Tanzania Prisons, Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha ambaye ni mlezi wa Tabora United amewatuliza presha mashabiki wa timu hiyo akisema wamejipanga vilivyo kufanya vyema msimu huu tofauti na uliopita walipokaribia…

Read More

Simba yamkomalia Awesu, kigogo KMC atoa ufafanuzi

SAA chache baada ya kuibuka kwa tetesi kwamba Yanga imeamua kuingilia kati dili la usajili wa kiungo Awesu Awesu aliyetambulishwa na Simba kabla ya kutangazwa kurudishwa klabu ya KMC, taarifa mpya ni kwamba mabosi wa Msimbazi wameamua kumkomalia na muda mchache mambo yatatiki. Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya TFF, iliyosikiliza shauri la…

Read More

Mrithi wa Minziro apata jeuri mapema

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Paul Nkata raia wa Uganda amesema baada ya kukitazama kikosi chake katika mechi mbili za kimataifa za kirafiki ameridhishwa na uwezo wa wachezaji na anaamini atafanya vizuri msimu huu kwenye Ligi Kuu. Kocha huyo wa zamani wa Express na Villa SC za Uganda alitambulishwa Agosti 10, mwaka huu na Kagera…

Read More

JIWE LA SIKU: Dabi ilivyowatibulia washambuliaji Simba

KWA SASA kinachoendelea kwenye vyombo mbalimbali vya habari na kule mitandaoni ni ishu ya ujio wa straika mpya wa Simba yakitajwa majina mawili, Christian Leonel Ateba anayekipiga USM Alger na Elvis Kamsoba aliyemaliza mkataba na Perserikatan Sepakbola ya Indonesia. Simba ilianza msimu vibaya kwa kuondoshwa kwenye nusu fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya mtani…

Read More

Dili la Willy Essomba Onana Qatar latibuka

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba, Mcameroon Willy Essomba Onana yuko katika hatua za mwisho za kukamilisha dili lake la kujiunga na Al Ahli Benghazi ya Libya, baada ya dili la kujiunga na Muaither ya Qatar kubuma. Nyota huyo aliyefunga mabao manne ya Ligi Kuu Bara msimu uliopita, ilielezwa angejiunga na Muaither inayoshiriki Ligi ya Qatar (Qatar…

Read More