
Yanga yadaiwa kuingilia kati dili la Awesu
WAKATI sakata likiwa halijapoa la kiungo Awesu Awesu kugoma kurejea katika klabu yake ya KMC kutokana na usajili wake kwenda Simba kuonekana ni batili, Yanga ni kama imepigilia msumari, baada ya kutajwa kuingilia dili hilo. Ipo hivi: Awesu Awesu alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na KMC, akaandika barua ya kuvunja na kuilipa timu hiyo…