Katwila apewa mmoja Geita Gold
Geita Gold imempa mkataba wa mwaka mmoja, Zuberi Katwila kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo kwa msimu ujao wa Ligi ya Championship. Katwila ambaye amewahi kuzifundisha Mtibwa Sugar, Mbeya City na Tanzania Prisons, atasaidiwa na Paul Nonga ambaye pia atakuwa kocha wa viungo pamoja na Agustino Malindi akiwa kocha wa makipa. Katwila anachukua mikoba iliyoachwa…