
SIMBA WAADHIBIWE KUKOMESHA TABIA HII – SIMON PATRICK – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mwanasheria wa klabu ya Yanga, Simon Patrick kupitia ukurasa wake wa instagram amendika ujumbe huu kuhusu sakata la mchezaji Awesu Awesu “Kuhusu suala la Awesu, kwanza napenda kuipongeza Kamati ya Sheria kwa kutoa uamuzi wa haki, Bravo!. Lakini kwa maslahi ya soka letu, Kamati ilipaswa kwenda mbali na kulitazama suala hili…