
Guede aanza mikwara mapema, afunguka kuelekea msimu mpya
MSHAMBULIAJI mpya wa Singida Black Stars, Joseph Guede aliyekuwa akikipiga Yanga msimu uliopita amechimba mkwara mpema akisema anatarajia msimu bora kutokana na wachezaji waliopo. Guede aliyeitumikia Yanga kwa miezi sita baada ya kusajiliwa dirisha dogo kuchukua nafasi ya Hafiz Konkoni ameliambia Mwanaspoti kuwa ameshamalizana na mabingwa wa soka nchini vizuri na ndio waliohusika kwa kiasi…