
Simba Queens yasepa na 24, Mgunda afafanua ishu ya Mnunka
KOCHA Mkuu wa Simba Queens, Juma Mgunda amesema kikosi hicho kitasafiri leo kwenda Addis Ababa, Ethiopia kwa ajili ya kushiriki michuano ya Klabu kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) kwa wanawake. Michuano hiyo kwa msimu huu itafanyika Ethiopia kuanzia Agosti 17 hadi Septemba 4, 2024 na bingwa atakata tiketi ya kushiriki fainali za…