
Watoto Sengerema wapata mafunzo | Mwanaspoti
MAKOCHA wa mpira wa kikapu nchini wanaendelea kuendesha program za mafunzo ya mchezo huo kwa watoto, huku kwa upande wa Mwanza, Kocha wa mkoa huo, Benson Nyasembwa amesema Beka sports consultant ya mkoani humo, iliendesha mafunzo hayo Wilaya ya Sengerema. Nyasebwa aliiambia Mwanasposti mafunzo hayo yaliwahusisha watoto wa kuanzia umri wa miaka 6 hadi 15,…