
Bakari Mwamnyeto: Sergio Ramos wa Yanga
SERGIO Ramos Garcia licha ya kwamba alizaliwa na kuanza maisha yake ya soka ndani ya Klabu ya Sevilla lakini ni moja ya wachezaji wanaoheshimika vilivyo Real Madrid. Heshima ya Ramos Madrid inakuja kwa sababu ya kuiongoza katika mafanikio makubwa akiwa mchezaji wa kawaida na hata pale alipokuwa nahodha akipokea kitambaa kutoka kwa Iker Casillas mwaka…