
Hapa ndiyo lilipo anguko la Simba
Mchezo wa saba wa ngao ya jamii baina ya watani wa jadi wa Tanzania, Yanga na Simba, umeamuliwa na bao la dakika ya 43 la Mbappe wa Kindu, Maxi Nzengeli. Kama ilivyo kwa watani wa jadi, matukio ya imani za kishirikina hutawala kabla na wakati mwingine wakati wa mchezo, na kwenye mchezo huu yalikuwepo pia….