
TCA Ligi Caravans yafunika T30, ikitota T20
ILIKUWA wikiendi njema kwa timu ya Caravans C baada ya kutwaa ushindi wa wiketi 3 dhidi ya Specialised K&P katika mchezo wa Ligi ya Kriketi ya Mkoa uliopigwa kwenye Uwanja wa Leaders, jijini Dar es Salaam. Ni Ligi ya Kriketi ya mizunguko 30 kwa timu za daraja B kwa mujibu wa msemaji wa Chama cha…