
Ishu ya Kagoma Yanga iko hivi, sababu kutocheza Simba yatajwa
MWANASHERIA wa kiungo Yusuf Kagoma, Leonard Richard, ameomba kupewa muda wa kujiandaa kujadili malalamiko yaliyowasilishwa na Yanga baada ya kesi ya kimkataba kufikishwa katika Kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Wakati suala hilo likifika kwenye kamati kwa ajili ya kujadiliwa, mwanasheria huyo amebainisha kwamba Kagoma ni mali halali…