
ISHU YA ALLY KAMWE KUMFUATA MKE WA MWIJAKU IPO HIVI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Mzee Msumi ambaye ni mojawapo ya wazee wa yanga amemtaka Ali kamwe kusitisha shughuli ambayo aliipanga siku ya leo kwa ajili ya kumchukua mke wake na Mwijaku (alice) ambaye aliwekwa bondi na mme wake,endapo simba ikifungwa atamuacha mke wake aolewe na Ali kamwe. “Niwaombeni msamaha kwasababu hili jambo limegusa hisia za Watanzania, imenichukua nusu saa…