
Wasauzi wamwashia taa kijani Maema Simba
MAMELODI Sundowns ya Afrika Kusini, imetangaza rasmi, kuondoka kwa kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho, Neo Maema. Matajiri hao wa Sauzi, wamemuaga kiungo huyo leo Ijumaa, baada ya kuitumikia klabu hiyo miaka minne kwa mafanikio. Hatua ya Maema kupewa ‘Thank you’ ni kama inawashwa taa ya kijani kwa kiungo huyo kutua Simba. Maema ndani ya Mamelodi…